1Wimbo wa kwenda juu. Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana.
2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana.
3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.
Biblia Takatifu
Agano la Kale
1Wimbo wa kwenda juu. Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana.
2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana.
3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.
Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™, Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Used under CC BY-SA 4.0. The original Work by its copyright holders is available for free at www.biblica.com and open.bible.
Kidokezo: vitufe vya kushoto na kulia vinageuza ukurasa, na / hufungua utafutaji.