1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.
Biblia Takatifu
Agano la Kale
1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.
Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™, Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Used under CC BY-SA 4.0. The original Work by its copyright holders is available for free at www.biblica.com and open.bible.
Kidokezo: vitufe vya kushoto na kulia vinageuza ukurasa, na / hufungua utafutaji.